Tuesday, September 29, 2009

WIVU WA OBAMA


Obama ana wivu kama mswahili yaani alipogundua Berlusconi wa Italy kiwembe akawa anazuia mkewe asikumbatiwe!!! Jama hajazoea salamu za mikono.

3 comments:

Mamy G said...

MAPENZI HAYANA MSWAHILI WALA MCHINA WALA MWARABU, WALA MGILIKI

Anonymous said...

Jamaa yuko fiti sana kwa zoezi http://www.flickr.com/photos/whitehouse/3993800443/

http://www.flickr.com/photos/whitehouse/3963939559/

Hapa je, hana wivu ?http://www.flickr.com/photos/whitehouse/3942058177/

Anonymous said...

WACHA FIX WEWE BERLUSCONI UMEMJULIA WAPI????