Thursday, October 01, 2009

KIBANO SOMALIA
Askari wa Jumuia ya Ulaya wakionyesha manjonjo yao ya jinsi ya kupambana na wasomali wanaoteka meli katika bahari ya deep nje ya Afrika Mashariki majuzi. Jamaa wama vifaa si mchezo lakini wanaogopa wasomali.

7 comments:

Anonymous said...

askwongopee mtuu silahaa ni ak47.hizo hapo zinakwama afu mtutu unapasuka.huyo jama ambae anacheka mwenye miwani ya jua na shati la kiraia ni waziri wa ulinzi wa holland alivokua huko kune bahari la hindi.kuna kajirani kangu kametumwa huko ilaa kabla ya kundoka mchechee ulikapiga kakatamani kaombe ruksa kwa anamatatizo ya kili.good luck guys

Anonymous said...

GLOBU IMEPATWA NA KWIKWI KAMA KAWAIDA YAKE.
KAMA HUWEZI HII FANI JITOEEEEEEEEEEEEEE

Anonymous said...

mjomba globu imekushinda tafadhari sana jiondoe au ibinafishishe kw amtu mtu mwingine wewe uwe na hisa tu .

JanuskieZ said...

Hi... Looking ways to market your blog? try this: http://bit.ly/instantvisitors

~PakKaramu~ said...

Pak Karamu visiting your blog

Mzee wa Changamoto said...

Kaka Mpoki
Kwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nakutakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
Baraka kwako

Anonymous said...

Kwanza kaka Mpoki umenenepa sana, naamini muda huu huna uwezo wa kukimbia huku na kule kutafuta habari. Nakushauri mambo ya blog ungeachana nayo kwanza uanze kupunguza hicho ki-frij. We uliona wapi blog inakuwa updated kila baada ya miezi minne. Wewe na ndugu yako MIRUKO mgepumzika biashara hii kwanza