Friday, February 19, 2010

MAISHA

Wakati watu wengine wanalalamikia maisha kuw amagumu kuna vijana wanapigika vibaya wakiwa bado wanafunzi. watoto wa siku hizi wanaweza hata kugoma kwenda shule bila ya School bag! wakati wenzao wanahaha ili kupata pesa ya kununulia peni!

No comments: