Friday, February 19, 2010

KICHEKO

Kuna mzungu alifika benki na nyani wake,akaenda kumfunga sehemu walipokuwa wamekaa kikundi cha waafrika akawaambia "Embu mchungeni ndugu yenu huyu",na yeye akaingia benki.

Wale waafrika wakachukia kuambiwa wana undugu na nyani wakamuua yule nyani.Aliporudi kumkuta nyani wake kafa akapanic kwa hasira na kuanza kuuliza aliyemuua.Wakamjibu "Hayo ni mambo ya kifamilia hayakuhusu".

No comments: