Thursday, March 25, 2010

OPERESHENI SANGARAFreeman na wapiganaji wake wakiendeleza masuala ya operesheni Sangara mkoani Dodoma, wanavuruga lakini mambo yatafika hadi mwisho namna hii ikifika Oktoba?

1 comment:

Wedding Bells said...

Kwa hugs za nguvu hivi na kina mama anaweza jizolea kura...

Sasa kaka angalia pia blog yangu na hebu ni link kwenye hiyo list yako unitoetoe. kwangu uko linked warembo wanakusoma.