Thursday, March 25, 2010

AJALI AJALI


Hizi ajali jamani mi naanza kuziona zinakuwa kama kawaida kwa watanzania, sijui tatizo ni barabara ama madereva kama hii ya leo mtu unategemea nini kama ingekuwa imekula nyomi la kutosha yaani watu 30? Tumshukuru Mungu walikuwa kumi tu!

No comments: