Thursday, May 06, 2010

UTUMISHI
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Umtumishi wa Umma imekuwa ikifanya maboresho katika utumishi wa Umma kwa muda sasa, na hawa ni maafisa wa wizara hiyo wakielimisha wadau jkatika mkoa wa Tabora hivi karibuni. Sasa wanaendelea na ziara mkoa wa Shinyanga na wilaya zake zote ili kuleta huduma njema kwa wateja na maboresho ya utendaji. Juu Zamaradi Kawawa akiwasilisha mada, Washiriki wakifuatilia na wengine ni maafisa wa wizara hiyo.


No comments: