Monday, April 19, 2010

TRENI YA KIBONGO


Kwa kweli sijui tatizo ni la mwekezaji muhindi ama ni serikali yetu maana tukisema mabehewa na vichwa vinaisha watu hawaamini sasa cheki PM alipokuwa katika bahewa la watu wa kawaida (Daraja la tatu) yalichukukliwa wabahewa mawili nadhani haya ndio bomba kukliko yote.
Swali ni hivi: Hivi kwenye treni lennye viti vya kiwango ama mabehewa ya VIP kama Tazara, kiti cha PM kingewekewa kitambaa cheupe?

3 comments:

Anonymous said...

MPOKI, WHAT IS THE MEANING OF Big AND Srong?

Anonymous said...

kwanini mmemtandikia nguo huyo

Anonymous said...

huyo si mkubwa basi nguo zingetandikwa kwa wote