Thursday, July 08, 2010

MAKHIRIKHIRIWanamuziki kutoka Botswana, Makhirikhiri wakiburudusha wakazi wa Temeke katika ukumbi wa Equator jana. Jamaa wamenogewa na bongo na wanasema watarejea baada yakutumbuiza katika fainali za kombe la dunia jumapili. Hivi wagogo wwetu hawawezi kupata shavu wakala pesa kama hawa walivyovyuna bongo kwa miezi miwili?

2 comments:

skeet4me booty said...

Poti habari yako mi sijambo, nikiaangalia blog yako mara nyingi inakua hamna issue nyingi,nipe email yako niwe nakupostia issue, maana hawa wengine na blog zao waziona dili kuweka news qwenye blog zao mzee nitumie email yako kaka, ciao.

Mzee wa Sumo said...

mpokibukuku@yahoo.co.uk ama mbukuku@tz.nationmedia.com