Friday, July 09, 2010

VITEGEMEZI


Haka kajamaa kananimaliza sana kanajaribu kila kitu wakati enzi zangu babake nilikuwa naogopa hata mjusi, sasa sijui akikua atakuwaje?

1 comment:

Anonymous said...

hahahha, yaani hiki kitegemezi cha kiume ni mzee wa sumo kabisa