Monday, July 12, 2010

PWEZA


Jamani huyu Pweza kamzidi hata Sheikh Yahya katika utabili, Duh. Hawezi kutumika kutuambia Maalim Seif na Shein nani atalamba dume Zenji ili tubane matumizi ya kampeni? Nae anaitwa Paulo.

No comments: