Tuesday, July 13, 2010

YANGA AFRIKA

Napenda kutamka rasmi kuwa 'NAIPENDA YANGA' wewe je?

4 comments:

Anonymous said...

safi sana tuko pamoja

Israel G Saria said...

Mimi naipenda sana Simba Sports Club.

John Mwaipopo said...

kila mtu anaipenda yanga. nani haipendi yanga? nani kama yanga. yanga imara!!!

Anonymous said...

YANGA ni tim nzuri ila tatizo mashabiki wake ni wabishi, wengi wao ni wafupi wanabisha hata kitu cha ukweli.