Friday, August 06, 2010

BONANZA LA MIAKA 10 YA MWANANCHI

Vijana wa The Citizen wakipasha moto kabla ya kukabiliana na wenzao wa Mwananchi.
Ukaanza mpambano wa Vuvuzelaz kelele ilikuwa kama Woza!

Nikajitahidi lakini madogo walikomaa!
Nikapewa eti redcard kwamba sijui kupuliza Vuvuzela!
Nikamuingiza Junior akatinga fainali, sasa kama sijui nani amemfanya diogo agonge kama mimi?


Wengine walizidiwa wakafaint, kidogo afe!

wengine walikimbilia kwenye menu na watoto yatima waliotujoin kutoka kuituo cha Yatiam Trust Group cha Chamazi.
Watoto yatima walijienjoy vilivyo!
No comments: