Friday, August 06, 2010

FUNDI CHEREHANI

Yaani mchina kaharibu ajira za watu zamani kila mtaa ulikuwa na fundi cherehani kwa ajili ya kuweka viraka sasahivi hakuna mwenye hamu ya hata ya kushiona kaunda suti zinatoka Beijing!

1 comment:

Anonymous said...

Kaka subiri, si muda mrefu watatuletea nguo za vitenge.