Monday, August 09, 2010

HII NI KAMPENI

Mtu wa Chadema akiwa amevalia T shirt yenye maneno 'SIHITAJI KURA ZA WAFANYAKAZI' huku ikiwa na picha ya Mgombea wa CCM, JAkaya Kikwete. Naibu Mkuu wa Kitengo chas Propaganda CCM, Tamwe Hiza anasema si kweli kwamba Kikwete alikataa kura za wafanyakazi. Mi simo!!!

1 comment:

Anonymous said...

Bwana Tambwe Hiza leo unthubutu kabisa kukana kuwa Mh JK hakukataa kura za wafanyakazi? Leo unakana kwa vile umeshaona maji ya mafuriko yanakaribia levo ya kizingiti cha mlango tayari kuingia ndani ya nyumba? Ama kweli mla kunde husahau ila .....!!!
Kwani mkigeuka na kuomba radhi kwa kauli ile si ndiyo uungwana jamani. Alikana mbele ya wazee wa Dar aliowaita kuwahutubia akisema "....... hata hizo kura zao sizitaki wasinipe ......." Mh. Hiza, nenda kaombe vdideo TBC1 usikilize labda utakumbuka. Usinielewe vibaya, ila kukataa alikataa mbele ya wazee wa Dar es Salaam.