Tuesday, August 31, 2010

JAMANI DUH!!!

Jamaa kauchuna lakini mkewe akamkoleza kwa kicheko!!!!
Mwenyewe akachekelea ndoa taamu!!
Watu wakapiga msosi!
Wakampongeza na kutoa zawadi!
Aaaah brother Mashaka nae akapata nafasi ya kukoleza ndoa yake hii ni siku Hansen Fandey alipomchukua Susan kuwa mkewe mjini Morogoro, ilikuwa taaaamu sana!!!!
No comments: