Monday, August 30, 2010

UCHAGUZI 2010

Chadema
CCM
CUF
Inakuwa raha sana kipindi hiki cha kampeni kwani kwenye viwanja utakuta watu kibaaao katika karibu kila mkutano wa vyama vikubwa lakini matokeo hayaendani na mikutano. Tunasubiri tuone mwisho baada ya uchakachuaji!!!!

No comments: