Thursday, August 05, 2010

KATIBA KENYA

Vinara wa NDIO washerekea ushindi Kenya!Saa kumi na mbili baada ya wakenya kumaliza kupiga kura ili kupinga ama kukubali katiba mpya, matokeo yametoka na kuonyesha kuwa wengi wameikubali. Katika kura zilizopigwa NDIO wamepata 4,141,521 (asilimia 67) wakati waliopinga wamepata 2,054,946 (Asilimia 33).

Sasa kwa katiba mpya Kenya itajulikana lama Federal Republic of Kenya.

No comments: