Friday, August 13, 2010

KONYAGO WAZINDUA KINYWAJI KIPYA

Kampuni ya tanzania Distilleries Ltd imezindua kinywaji kipya chenye ladha ya nanasi kiitwacho Bismark Rocks ambacho kwa sasa ni mahsusi kwa walevi wa Kanda ya ziwa sijui wa Dar tutapata lini hii kitu?
Meneja Masoko wa TDL, Joseph Chibehe akizungumza wakati wa kuzindua kinywaji hicho.

Mikono juuu!!!
Meneja mauzio wa TDL Kanda ya Ziwa Dilley Bhanji akionyesha katoni ya viroba vya kinywaji hicho.

Inatamaniwa mpaka na mademu, kudadadadeki!!!!!

1 comment:

Anonymous said...

Ndio maendeleo ya Tanzania haya Konyagi kila siku kuzindua mpya mpya tutafika kweli, halafu zinaleta faida gani katika nchi ila watu kulewa na kupigana mpaka kuwana.