Friday, August 13, 2010

Mzee wa Sumo sasa nimeamua kujitosa kugombea Uenyekiti wa Chama cha waandishi wa habari za Michezo napambana na vigogo wa kutisha lakini naamini nitawagalagaza! Yupo Juma Pinto, na Masoud Sanani!!!! Inshallah!

1 comment:

Anonymous said...

Kila la heri muheshimiwa, why not??. Mbotto London.