Wednesday, August 04, 2010

MATOKEO


WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Chilonwa, Dodoma, kikithibitisha matokeo ya kura za maoni kwa Mtera ambako mwanasiasa mkongwe, John Malecela ameshindwa na kukubali matokeo, baadhi ya wagombea walioshindwa wakiwamo mawaziri, wamelalamikia matokeo.

Jana asubuhi kulikuwa na taarifa za kutolewa kwa matokeo ya Mtera, huku habari zikidai kuwa Mzee Malecela alikuwa ameshinda, lakini matokeo hayo rasmi ya CCM Chilonwa, yalithibitisha kuwa Livingstone Lusinde alikuwa amembwaga kiongozi huyo wa siku nyingi.
Endelea

No comments: