Thursday, August 26, 2010


Mdau Yusuf Mwenda (Juu) akiweka mikakati ya kampeni akiwa mgopmbea wa udiwani kata ya mikochweni huku diwani aliyemaliza muda wake Anold Maruma akimwekea msisitizo kwa wanachama wa CCM Kata hiyo. Mtanange unaendelea na watu wanaungana mkono. Buig UP!!!!

No comments: