Friday, September 03, 2010

BARABARA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akiangalia maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Mtambile,Kengeja Pemba ikitiwa kifusi katika hatua ya mwanzo wakati alipofanya ziara ya kutembelea Mradi wa ujenzi wa Barabara inayosimamiwa na Wizara ya Mawasiliano na UchukuziNo comments: