Monday, September 06, 2010

NYOMI NYOMI


Umati katika mikutano ya Kampeni, Nyomi kila Pembe Kwa Dr Slaa na Kikwete, wanaosikiliza ni wapenzi wao, wanachama wao ama wananchi wanaotaka kujua kinasemwa nini? Nashindwa kuelewa hili kila nikiangalia mikutano unakuta watu ni Full Mzuka!!!

No comments: