Monday, September 06, 2010

RAMADHAN KAREEM


Baada ya siku kadhaa za mfungo wa Ramadhan waumini wa dini ya kiislamu huko Pemba wakipata futari iliyoandaliwa na mkuu wa Nyumba huko, Sheikh Amani Karume. Zimebaki siku tatu ili mfungo umalizike. Tunawatakia mfungo mwema na Mungu ajalie watu waendelee na maisha kama walivyoendesha mwezi huu.

No comments: