Thursday, September 23, 2010

PINDA MAJUUWaziri Mkuu, Mizengo Pinda na Rais wa Liberia, E. Johnson Sirleaf wakifuatilia mkutano wa kujadili maendeleo ya millennia waliouandaa wakishirikiana na Waziri Mkuu wa Denmark L. Lokke Rasmussen jijini New York. Baadae nae akamwaga nondo. Anaendelea kuwakilishaaaa.

No comments: