Monday, September 06, 2010

TENDWA AGWAYA

Pamoja na Msajili wa vyama kupokea pinganmizi la Chadema dhidi ya JK na kuahidi kutoa majibu baada ya siku tano leo ametoa nje kwa waandishi kuwa angeweza kutoa maamuzi aliyofikia.
Tendwa alidai kuwa yuko busy na mambo mengine na maamuzi ameshayatumakwa vyama na tume ya Uchaguzi.
Hata hivyo aliahidi kuwa angezungumza na waandishi wa habari baadae, Huu ni moto ameukali maamuzi yake yawe ndio ama hapama ni MOTO!!! Acha akwepe tu. Ukiona manyoya.....

No comments: