Thursday, September 23, 2010

UCHAGUZI 2010

Wagombea wengine bwana mmoja kaja kwetu akaahidi daraja la kisasa tuweze kuvuka mto kirahisi . Tukamwambia hatuna mto. Akaahidi kutuletea na mto pia.

1 comment:

Subi said...

Hiyo ni kali ya mwaka.
Umenikumbusha huko Iringa wakati wa 'kutangaza nia' jamaa mmoja alijinadi kuwa atawaletea wanakijiji 'nyavu za kuvulia' il hali hawana hata dimbwi na ni eneo la milimani. Sijui huyu naye angeahidi kuwapelekea ziwa na bahari kabisa? mwe! Matatizo ya kukariri.