Friday, September 03, 2010

WAZIRI MKUU ACCRA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Ghana Hogn Atta Mills kwenye ikulu yake mjini Accra chini akisalimina na Rais wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuendeleza Kilimo (IFAD), Bw. Kamayo Nwanza katika mkutano wa kujadili mapinduzi ya kijani barani Afrika.No comments: