Friday, September 03, 2010

MKOLONI ALISHWA SUMU


Msanii wa kizazi kipya Fred Malik (Mkoloni) inadaiwa amewekewa sumyu katika chakula na hali yake sio nzuri hadi sasa.

Taarifa zinaeleza kuwa msanii huyo ambaye amekuwa akifanya kampeni za Chadema alikuwa na mwenzie G Solo na waklikwenda kupata mtoli katika baa ya MEEDA, Sinza kabla hali yake haijabadilika na kuanza kujisikia vibaya na baadae kukimbizwa zahanati kabla ya kupelekwa Mwananyamala kw amatibabu.

Hali imezidi kuwa mbaya na sasa yuko Muhimbili kwa uangalizi zaidi.

Habari zaidi soma Jiachie

No comments: