Tuesday, October 05, 2010

AJALI AJALI


Ajali zinaendelea kumaliza ndugu zetu kila siku, sijui suala ni leseni ama? Watu wanatakiwa kufanya ufumbuzi wa haraka kwani kama hii ya Mwendapole, Kibaha jana imepoteza maisha ya watu wanne. Duh!

No comments: