Wednesday, October 20, 2010

SHIHATA

Hili Shirika la Habari lilikufa zamani kabla hata sijaanza vyema uandishi, lakini sasa nakaribia uzee bado bango lipo katika mtaa mmoja uhindini jijini Mbeya!!

No comments: