Wednesday, October 20, 2010

SAFARI YA KWETUMuda mrefu nilikuwa sijawahi kupanda treni kwenda Mbeya lakini juzi nilisafiri nalo na ilikuwa taamu kwelikweli, nilienjoy na kugundua tofauti ya basi na treni nililala, nilikunywa na nili...pata picha nyingi sana njiani!!! Narudi Nyumbnanii!!!!!!!!

No comments: