Tuesday, October 26, 2010


Baadhi ya wafugaji wa jamii ya kimasai wakazi wa Kitongoji cha Ngaite, Wilayani Kilosa wakionyesha shahada za kupigia kura muda mfupi kabla ya kuandamana kwenda kwa mkuu wa wilaya hiyo kurudisha shahada hizo baada ya umoja wa wafugaji wa asili wanaodaiwa kumiliki eneo hilo kuwapiga marufuku kupiga kura ndani ya eneo hilo na kuwataka kuvunja nyumba zao na kuhama.

No comments: