Friday, October 29, 2010

MBUNGE ATUMIA CHOPPER KUJIUZA

Mgombea Ubunge Singuida Kaskazini Lazaro Nyalandu akijinadi kwa wapigakura wake jimboni leo baada ya kuanza kutumioa Copper kuhitimisha kampeni zake.
Wananchi walijitokeza kwa wingi kumsikiliza na kuangalia chombo hicho cha usafiri katika vijiji mbalimbali alivyotembelea.
Nyalandu akisalimia wananchi wakliokuja kumpokea na kumsikiliza.
Baadae akaingia katika kusakata densi la kinyaturu.
Baadae akarejea hotelini alikofikia Catholic Mission kwa wajili ya maandalizi ya mikutano ya kesho. Chopper inapaki popote!!!

No comments: