Monday, October 25, 2010

MAMA KASELE AZIKWA LEO

PAul Kasele akiwa amebeba msalaba wakati wa kusafirisha mwili wa mama yake Rahel aliyefariki Dar es Salaam na kuzikwa Tabora leo jioni.
Mtoto wa marehemu akimuaga mamaRahel Tito Kasele juzi wakati wa kuaga jijini Dar es Salaam.

Wajukuu walikuwa na huzuni ya hali ya juu.
Mchungaji alimuombea ili akaishi kwa raha katika makao ya milele.

Mungu awape nguvyu wafiwa, ndugu jamaa na marafiki katika kipindi hikki kigumu, Bwana ametoa, Bwana ametwaa!!!

No comments: