Friday, October 01, 2010

TAIFA STARS KAMBINI

Mwaka huu vijana wa Stars wamekamia kusafiri kwa ndege katika michuano mikubwa maana jana wameanza mazoezi makali kama wanavyoonekana pichani. Sasa kama kwenye mazoezi wanafanyiana hivi ikija kweli waarabu watapona kweli? Achas Morocco waje!!

No comments: