Friday, October 01, 2010

USAFIRI WA KARNE YA 21

Ili kukabiliana na makonda wazazi wameamua kununua baiskeli kwa ajili ya usafiri wa watoto kwenda shule sema baiskeli za siku hizi sio kama tulizotumia sisi, Swala ana Phoenix kwani hazina kitako nyuma!!!

No comments: