Friday, October 01, 2010

KIFAA CHA KISASA

Kifaa cha kisasa kikionyeshwa tayari kukabili watanganyika kipindi cha uchaguzi, tumejitahidi sana kuwekeza huko kama South miaka ya 70! Hilo mbele sijui lakuondolea Ice barabarani ama kukusanya waandamanaji?

No comments: