Wednesday, November 03, 2010

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammd Shein akila kiapo cha kuongoza visiwa vya karafuu kabla ya kukagua gwaride rasmi la vikosi vya ulinzi katika sherhe maalum cha kua kiapo cha kuwa Rais wa Awamu ya saba wa Zanzibar,katika uwanja wa Amaan Stadium,Mjini Unguja jana

No comments: