Friday, November 05, 2010

KIVAZI CHA WANYAKYUSA


3 comments:

Anonymous said...

ndugu ninaloswali kuhusu mazishi kati yao wanyakyusa. Wajua vipi nawezapata kwenye mtandao video za aina hio?

Asante.

Anonymous said...

Sumo, Je unajua kwamba hapo yupo bibi yako?Je hapo walikuwa kwenye shere au zile ngoma za kiasili?

Anonymous said...

mambo vp mzee wa sumo? hicho kivazi cha kinyakyusa mbona sikielewi na sijawahi kukiona, zinatengenezwa kutumia nini maana hapo nawaona kama hawajavaa kitu bali mikanda mikanda tu? ina maana hiyo ndio nguo ya asili ya kinyakyusa?
Ipyana Mwaipaja