Wednesday, November 24, 2010

BARAZA LA MAWAZIRI

Rais Jakaya Kikwete
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda

WIZARA NA MAWAZIRI WAKE:

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
1.Utawala bora, Mathias Chikawe
2.Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira
3.Menejiment ya Utumisi wa Umma – Hawa Ghasia

Ofisi ya Makamu wa Rais
4-Muungano-Samia Suluhu Hassan
5-Mazingira - Dk. Therezya Luoga Hovisa

Ofisi ya Waziri Mkuu
6.Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi
7.Uwezeshaji na Uwekezaji, Dk. Mary Nagu

8) Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Mkuchika
Manaibu: Aggrey Mwanri na Kassim Majaliwa

9) Wizara ya Fedha, Mustapha Mkullo
Manaibu: Gregory Teu na Pereira Ame Silima

10) Wizara ya Mambo ya Ndani-Shamsi Vuai Nahodha, Hamis Kagasheki
11) Wizara ya Sheria na Katiba na Celina Kombani
12) Wizara ya Mambo ya Nje, Bernard Membe
13) Wizara ya Ulinzi na JKT Dk. Hussein Mwinyi
14) Wizara ya Mifugo Dk. Mathayo David Mathayo
15) Wizara ya Mawasiliano Sayansi Tenknolojia ( makame, kitwanga(mawe matatu)
16) Wizara ya Ardhi na Makazi, Prof. Anna Tibaijuka
17) Wizara ya M`aliasili na Utalii, Ezekiel Maige
18) Wizara ya Nishati na Madini, William Ngeleja, Malima
19) Wizara ya Ujenzi John Magufuli, Prof Harrison Mwakyembe
20) Wizara ya Uchukuzi Omary N
21) Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Cyril Chami-
22) Wizara ya Elimu Dk Shukuru Kawambwa
23) Wizara ya Afya Dk. Hadji H Mpanda, Lucy Nkya
24) Wizara ya Kazi, Ajira Gaudencia Kabaka, Makongoro Mahanga
25) Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsi na Watoto Sophia Simba
26) Wizara ya Elimu Habari, Vijana na Michezo, Dk. Emmanuel Nchimbi
27) Wizara ya Ushirikiano EAC, Samuel Sitta
28) Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Prof Jumanne Magheme, Christopher Chiiza
29) Wizara ya Maji, Prof Mark Mwandosya

No comments: