Wednesday, November 24, 2010

TANGANYIKA YETU

Huyu ndiye kijana Francis James Washa (24) maarufu kama Thomas Mwita Chacha, mkazi wa Mafiga Manispaa ya Morogoro akiwa amevalia sare za jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) akiwa chini ya ulinzi.

Sasa kama watu wamefikai hatua kama hii inakuwaje unapopewa kichapo na mjeda kumbe feki?

No comments: