Friday, December 10, 2010

UGUA POLE

Waziri Mkuu, Mizengo PInda akimpa pole Mbunge wa Mpanda Kati, Said Arfi wakati alipomtembelea kwenye hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam alikolazwa jana.

1 comment:

Anonymous said...

ugua pole mpiganaji