Thursday, January 13, 2011

BAA ZA BONGO, MHHH!!!!!!!!!!
1 comment:

Anonymous said...

Duh! hata ilipo hii pub sitaki uiseme maana alivyopakatwa simba! Je humo ndani mambo si ya kutisha? Mimi humo kwenye hii pub siwezi kuingia hata kwa nini, hadi utuonyeshe jinsi palivyo na mazingira yake katika utoaji wa huduma zao. Wanatisha hapo kwenye picha jamani!