Monday, January 31, 2011

MAANDAMANO JAMANI KAMA TUNIS!!

Mzee Abbas Kandoro, mkuu wa mkoa wa Mwanza akijaribu kuwapoza wamachinga walioandamana kupinga kuhamishwa.
Wasiokuwamo waklikutana na vijana wa Fanya Fujo Uone!
Pamoja na mabomu wanyonge walitoa yanayowatesa moyoni!!!
Wengine walijiandaa na maji!
Wengine waliingia mitaani bila woga!
Bado kidiogo kituo cha polisi kichomwe!!!

No comments: