Tuesday, January 11, 2011

MAANDAMANO KILA KONA


Chadema maandamano, UDOM maandamano na huku nako, Makamu mkuu wa chuo cha Mt.Yohana Profesa.Manoris Meshack akizungumza na wanafunzi wa chuo hicho jana baada ya wanafunzi hao kugoma kuingia madarasani wakipinga kitendo cha uongozi wa chuo kuzuia fedha zao zinazoingizwa na bodi ya mikopo kwa ajili ya kila kitivo ambapo walidai fedha hizo haziwafikii kwa kiwango kinachotakiwa kupewa lakini mgomo huo ulizimwa na uongozi wa chuo na wanafunzi kurejea madarasani kwa kuwaidiwa kushuhurikia tatizo hilo.

No comments: