Thursday, September 14, 2006

AJIRAWatanzania wameahidiwa maisha bora na ajira na sasa wanaonesha vipaji vyao, huu ndio ujasiliamali?


MSAFIRI KAFIRI!Vijana wa Rombo wakiwa ndani ya chombo cha usafiri, Bora kufika tu!

GANGAMALAWazee wa kazi wanagangamala on asura zilivyokolea shughuli!

5 comments:

Vempin Media Tanzania said...

kaka hawa jamaa hapo juu ndiyo wanafanya nini yaani wananyongana au vipi?

Egidio Ndabagoye said...

Kaka ulipotea vipi kulikoni? lakini poa tu karibu tena!

Reggy's said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Mzee wa Sumo said...

safi nana mzee nashukuru kwa kunipitia sasa najerea kwa nguvu mpya na kasi mpya. ntafurahi kama mtakuwa nmanipitia mara kw amara ili niweze kuweka vitu zaidi!

Reggy's said...

hawa jamaa mie nawapenda sana. wakifika sehemu kila mtu ananywea. Kama si vitendo vya wachache kujiingiza katika ujambazi, hakika kazi yao ni ya kutukuka.