Wednesday, November 28, 2007

BONGO DARESAALAAAAM!

Sasa Jiji la Dar es Salaam limekuwa hapa ni barabara ya Msimbazi kwenye magari ya kwenda uswazi.
Na hapa ni Ohio Street njia ya kuelekea kuliko na maisha, daladala moja ama mbili! Lakini msongamano upo!

1 comment:

Anonymous said...

mnaharibu nani anatazama picha mmejaza majina yenu mtazamni nini
mnakimbiza watazamaji kwenye blog hiii