Thursday, January 24, 2008

BONGO DAR ES SALAAM

Mjini Bongo sasa hivi kuna jitihada hata dustbins zipo lakini bado watu wa City hawajazoea kuziempty!
Kiboko ni barabara ambazo zinaboreshwa kama hii ya Kilwa road, inamwagiwa sementi kama ukichaa sijui tunaotaka kujenga itakuwaje, tunatamani kichizi na bei imepanda sasa mfuki kama Sh12,000 sasa hawa jamaa sijui inakuwaje?
Downtown wanaweka vijimambo hat avigarden vinaanz akutunzwa, nadhani wengi mnajua hapa ni wapi!!!!!!!!

No comments: